Vijana wa Uhasibu wacheza na Arusha University
matokeo yalikuwa namna hii wavulana wa Uhasibu waibuka kidedea kwa goal 4,wakati wavulana wa Arusha University waaambulia kichapo kwa goal 1 walilobahatisha .magoal ya uhasibu yalifungwa na ally dk ya 7 kipindi cha kwanza akifuatiwa na roger dk 43 kipind cha kwanza baaada ya mapumziko vijana hao walionekana kung'ara tena kwa kuongeza magol mengine mawil.
IT WAS SO MARVELOUS TO UHASIBU MEMBERS,
by sportlady lololo.chochoo.iaa.uk
No comments:
Post a Comment