Wednesday, May 23, 2012

WANAFUNZI WA UHASIBU WAVAMIWA NA MAJAMBAZI

jaman jaman u know what inaogopesha ,huku kwetu arusha majambazi wavamia hostel na kupora laptop zetu uuuuuuuuuuuuuuuuuu!unataka kujua wameingiaje? wanamapanga yanang"aaaaaaa hata kama huna laptop utakoma .,bad enough kama una simu ya toch hauna simu ya ukweeee!utaaambulia kipigo kikali cha ubapa wa  panga!oooooooooooooh xo bad

No comments:

Post a Comment